LONDON: Haki za binadamu bado hatarini nchini Zimbabwe.
9 Mei 2005Matangazo
Wanaharakati wanaotetea haki za binadamu bado wanaendelea kunyanyaswa nchini Zaimbabwe tokea kufanyika kwa uchaguzi mkuu katika mwezi machi nchini humo. Uchaguzi huo ulimwezesha rais Robert Mubage kuendelea kushika madaraka ya urais.
Katika uchaguzi huo chama kinachotawala Zanu PF kilishinda kwa kupata viti 78 kati ya 120.
Shirika la kutetea haki za binadamu duniani Amnesty International limeeleza wasiwasi juu ya kuongezeka kwa ukiukaji wa haki za binadamu nchini Zimbabwe. Shirika hilo limetoa mfano wa mkasa uliohusu kuandamwa kwa jopo la akina mama
.