1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lithuania yajitenga na nishati ya Urusi

22 Aprili 2023

Kwa mara ya kwanza katika historia Lithuania imejitenga vyanzo vyote vya umeme vya Urusi.

https://p.dw.com/p/4QRQi
Kanzler Scholz in Litauen
Picha: Janis Laizans/REUTERS

Kwa mara ya kwanza katika historia Lithuania imejitenga vyanzo vyote vya umeme vya Urusi. Kwa mujibu wa mamlaka ya nishati ya Lithuania Litgrid, taifa hilo limefanikiwa kujitegemea baada ya zoezi la kujitenga lililodumu kwa masaa 10.Mamlaka hiyo imesema umeme unaohitajika wakati huu utapatikana kwa vyanzo vya ndani au kuagizwa kutoka Uswisi na Poland. Mwaka jana taifa hilo lilitangaza kuachana na uangizaji wa nishati ya Urusi.Lakini Estonia na Latvia, bado zimo katika gridi ya umeme unayotawanywa na Urusi na Belarus, katika kile kinachofahamika kama mfumo wa BRELL ring, ambao unatumika tangu zama za uliokuwa Umoja wa Kisoeviti.