1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lissu: UKAWA haiwezi kurudi nyuma

Bruce Amani Alakonya2 Machi 2016

Wajumbe kadhaa wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi nchini Tanzania (UKAWA) wamekamatwa, huku jeshi la polisi kwa upande wa Zanzibar likimuita kwa mahojiano Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha CUF, Nassor Ahmed Mazrui. Hata hivyo, Mkurugenzi wa Sheria wa CHADEMA, Tundu Lissu, anasema hawatarejeshwa nyuma na vitisho hivyo.

https://p.dw.com/p/1I5Mn