Mpenzi msikilizaji umeshawahi kufikiria kuishi maisha bila kutumia bidhaa zinazotokana na wanyama au bila kula vitu vyoyote vinavyotengenezwa kwa kutumia wanyama kama vile nyama yenyewe maziwa na mayai? Basi watu wanaoishi maisha kama hayo wanafahamika kama vegan. ura ya Ujerumani inmelimbelea soko la vegan linalofahamika kama soko la kijani au Green Market mjini Berlin.