SiasaUjerumaniKwanini serikali ya muungano Ujerumani imevunjika?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaUjerumaniGrace07.11.20247 Novemba 2024Muungano tawala wa Ujerumani ulisambaratika jana baada ya miaka mingi ya misuguano kufikia kilele chake kuhusiana na sera ya kiuchumi na bajeti katika taifa hilo kubwa kabisa kiuchumi barani Ulaya.https://p.dw.com/p/4mk0EMatangazo