Miito inatolewa ya kuzitaka pande zote za mzozo Gaza kusitisha vita lakini kila upande unashikilia msimamo wake. Israel inasema lazima mateka waachiwe, Hamas haitaki kuwaachia. Bruce Amani amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa Mohammed Abdulrahman makusudio ya mvutano huo.