Kwa nini uharamia haumaliziki kwenye pwani ya Somalia?
24 Oktoba 2011
Licha ya uharamia kuwa suala la kimataifa na ambalo limezikusanya nguvu za pamoja za mataifa mbalimbali duniani, yakiwamo yenye nguvu sana, bado limeendelea kusumbua wafanyabiashara, wasafiri na serikali duniani.
https://p.dw.com/p/Rsfn
Matangazo
Othman Miraji anatathmini sababu, muendelezo na ugumu wa uharamia na vita dhidi yake kwenye Pembe ya Afrika.