JamiiAfrikaKuzagaa silaha za moto DRC kwachochea uhalifuTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrikaRashid Chilumba12.02.202112 Februari 2021Asasi za kiraia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinalalamikia ukosefu wa usalama, ambao unatokana na kuzagaa kwa silaha za moto ambazo zinatumiwa na wahalifu kuwashambulia raia. Hali hiyo imekithiri katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.https://p.dw.com/p/3pGDzMatangazo