TeknolojiaUgandaKuvunja vizuizi: Kompyuta ndogo za UgandaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoTeknolojiaUganda15.11.202315 Novemba 2023Ni ndogo, nyepesi na zinaweza kuendana na kompyuta ya wastani. Mhandisi wa programu za kompyuta wa Uganda Ivan Karugaba anatufahamisha jinsi alivyounda mfano wake wa kompyuta ndogo ili kurahishisha upatikanaji zaidi wa teknolojia.https://p.dw.com/p/4YqLwMatangazo