Kundi la wanafunzi hawa nchini Nigeria lilipoona maambbukizi ya virusi vya corona yanaongezeka hasa miongoni mwa wahudumu wa afya, waliwaza kuhusu namna ya kukabili hatari hiyo. Ndipo wakaamua kutengeneza roboti inayopeleka dawa kwa wagonjwa na kuchukua vipimo vya viwango vya wagonjwa, bila ya wahudumu wa afya kuwasogelea wagonjwa. Mengi zaidi ni kwenye video hii ya Kurunzi ya Afya.