Kurunzi leo inaangazia juhudi za mzee mmoja mbunifu anayetumia uchafu wa bahari kutengeneza samani zenye hadhi kubwa kama vile viti, vitanda, meza na kadhalika, kutoka kaunti ya Kwale, kusini mwa Pwani ya Kenya, licha ya kukosa duka la kuuzia bidhaa zake. Mengi zaidi ni kwenye video hii iliyoandaliwa na Fathiya Omar.