JamiiAfrikaMadhara kuongezeka kina cha maji ziwa TanganyikaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrikaBenjamin Kasembe31.08.202231 Agosti 2022Ziwa Tanganyika ni moja ya maziwa makubwa ya Afrika, changamoto ya mabadiliko ya hali imesababisha kina cha maji kuongezeka na hata kubomoa nyumba za wakaazi wa eneo hilo. Wataalamu wa mazingira wanasema hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwahttps://p.dw.com/p/4GGaWMatangazo