1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kundi la wabunge Uganda lataka uchaguzi mkuu uahirishwe

17 Machi 2014

Kundi moja la wabunge katika bunge la Uganda limetoa mapendekezo ya kusogeza mbele uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kutoka mwaka 2016 kama ilivyopangwa hadi mwaka 2021.

https://p.dw.com/p/1BQnA

Miongoni mwa sababu zinazotajwa ni pamoja na kuyachunguza na kuyatakeleza mageuzi katika sheria za uchaguzi kama inavyohimizwa na upinzani,Tume ya Uchaguzi na asasi za kiraia. Kutoka mjini Kampala, Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi Ali Muttasa na kwanza alitaka kujua wazo hilo lina umuhimu gani katika siasa za Uganda?

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Khelef