1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuna nafasi gani ya kutuliza hali Gaza?

16 Agosti 2024

Kwa siku ya pili leo huko mjini Doha, Qatar wapatanishi wa kimataifa wapo katika majadiliano ya kusitisha mapigano kwa ukanda wa Gaza. Awamu hii ya sasa inafanyika bila ya uwepo wa kundi la Hamas, ambalo linalalamikia kwamba Israel imeongeza masharti kwenye mapendekezo ya awali yaliyokubaliwa na kundi hilo. Sudi Mnette amezungumza na Ahmed Rajab mchambuzi aliyeko London.

https://p.dw.com/p/4jZ16