1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UtamaduniKenya

Kumpamba bwanaharusi kwenye harusi za waswahili

28 Julai 2023

Umewadia msimu mwengine wa harusi za waswahili katika mji wa Mombasa nchini Kenya, katika video hii tunakuonesha namna ambavyo bwanaharusi anapambwa kwa kutumia mitindo mbalimbali, mingi kutoka ulimwengu wa kiarabu.

https://p.dw.com/p/4UVNi