Maafisa wa Tigray wanasema watu 10 wameuwawa baada ya shambulizi la pili la angani kutokea katika mkoa huo wa kaskazani mwa Ethiopia mapema leo. Bruce Amani amezungumza na mwandishi wa habari Coletta Wanjohi akiwa Addis Ababa, Ethiopia kwanza alitaka kufahamu juu ya taarifa hizo kutoka Makele.