Makala ya Vijana Mchakamchaka inaangazia sababu za marafiki wa karibu kukata mawasiliano baina yao licha ya hapo awali kuwa na uhusiano wa karibu. Je, umeshawahi kumpotezea rafiki yako wa karibu? Ungana na Suleiman Mwiru akupe uzoefu wa vijana kuhusu hali hiyo ya marafiki kukata mawasiliano ghafla.