Kujiuzulu kwa Hailemariam kwamaanisha nini Afrika?
16 Februari 2018Matangazo
Mohammed Khelef amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Ahmed Rajab, akiwa London, juu ya uamuzi huu na maana yake sio tu kwa siasa za Ethiopia, bali pia kwa kanda nzima ya Pembe ya Afrika.