Washirika wa DW Idhaa ya Kiswahili
26 Aprili 2016Idhaa ya Kiswahili ya DW inasikika Tanzania, tunapatikana mjini Arusha kupitia Triple A FM; Dar es Salaam: Radio Tumaini, Capital Radio, Radio Mlimani, Wapo Radio na Upendo Radio; Dodoma: ABM 91.2; Nyemo FM na Radio Mwangaza; Ifakara: Pambazuko FM; Iringa: Country FM; Karagwe: Fadeco Community Radio na Radio Karagwe; Mbulu: Radio Habari Njema; Morogoro: Radio Abood na Radio Ukweli; Moshi: Sauti ya Injili na Radio Kili, Mpanda: Mpanda Radio FM; Mtwara: Pride FM na Safari Radio Limited, Mwanza: Radio Free Africa, Radio Saut FM 96.1 na Passion FM; Ngara: Radio Kwizera; Shinyanga: Radio Faraja FM; Singida: Standard Radio FM, Tanga: Mwambao FM; Tabora: CG FM na Zanzibar tunapatikana kupitia Zenji FM 96.8, Hits FM, ChuChu FM; Mtegani na Tumbatu Community Radio.
Nchini Kenya, tunapatikana jijini Nairobi kupitia Radio Maisha, Radio Waumini na Transworld Radio; Lamu kupitia Sifa FM; Kwale kupitia Kaya FM na Radio Mambo mjini Webuye.
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo(DRC) tunapatikana mjini Beni: Ngoma FM, Radio Liberté na Radio Télévision Semuliki; Bukavu: Radio Star, Bunia: RTK na Radio Merveille; Butembo kupitia RTGB Butembo; Goma: Radio La Colombe na Radio Oasis, Isiro: Radio Boboto; Kasindi: RTGB Kasindi; Kindu: Salam FM; Kisangani: OPED FM; Uvira: Radio le Messager du Peuple na Radio Ondese
Nchini Uganda tunapatikana kupitia Kampala: Pearl FM; Kabale: Freedom Radio; Mbale: Step FM; Elgon FM; Signal FM na IUIU FM; Soroti: Delta Radio Limited; Tororo: Veros Radio na Gulu: King FM na Speak FM na katika Nebbi: Rainbow Radio
Mjini Kigali nchini Rwanda, Idhaa ya Kiswahili ya DW hupokelewa moja kwa moja kupitia Isangostar na Radio Flash FM. Nchini Burundi: Radio Isangianiro na Radio Publique Africaine; Visiwani vya Komoro, tunapatikana kupitia Radio Star ya Mutsamudu na huko Msumbiji, matangazo yetu yanasikikana kupitia Radio Sem Fronteiras ya Pemba.