Kongo yasitisha mageuzi ya sheria ya madiniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSaleh Mwanamilongo11.03.201611 Machi 2016Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imetangaza kusimamisha kwa muda mageuzi ya sheria ya madini, kutokana na kuporomoka bei ya madini kwenye soko la kimataifa. Tangazo lilopingwa vikali na mashirika 42 ya kiraia.https://p.dw.com/p/1IBYAMatangazo