Bunge la Kongo limeongezea muda hali ya dharura katika mikoa ya Kivu ya Kaskazini na Ituri kwa mara nyingine na utawala huo maalumu unahitimisha mwaka moja tangu kutangazwa kwake na rais wa nchi hiyo Felix Tshisekedi. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu kutoka Beni John Kanyunyu.