1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la Kimataifa la vyombo vya Habari mjini Bonn

21 Juni 2010

Mjini Bonn imefunguliwa kongamano la tatu la Jukwaa la kimataifa la Vyombo vya Habari lililotayarishwa na Deutsche Welle, na kauli mbinu mwaka huu ni ujoto unaoongezeka duniani na athari za mabadiliko ya hali ya hewa.

https://p.dw.com/p/NzMi
Kongamano la Kimataifa lililotayarishwa na DW mjini BonnPicha: DW

Mchango gani unaweza kutolewa na vyombo vya habari katika kuwazindua wanadamu juu ya suala gumu ka la mabadiliko ya hali ya hewa? Katika hotuba yake ya ufunguzi, mkurugenzi mkuu wa Deutsche Welle, Erik Bettermann, alisema ishara zote zinaoonesha hali ya hewa inabadilika, na kwa mwanadamu na mazingira na matokeo yake mtu hawezi kuyakadiria.

Mmoja kati ya watu mashuhuri wanaohudhuria kongamano hili ni Bibi Charity Ngilu, waziri wa maji na unyuyuziaji wa Kenya. Mwenzangu Othman Miraji alizungumza mkutanoni na Bibi Ngilu, na kumuuliza kongamano hili.

Mpitiaji:Abdul-Rahman