1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano kuhusu wakimbizi na wahamiaji barani Afrika linalofanyika mjini Berlin, Ujerumani

1 Oktoba 2008

Mjini Berlin hapa Ujerumani hii leo kumeanza kongomano la siku mbili kuzungumzia suala la wakimbizi na wahamiaji barani afrika.

https://p.dw.com/p/FSO7
Wakimbizi barani AfrikaPicha: picture-alliance/ dpa

Kongamano hilo limeandaliwa na shirika la missio la Ujerumani kwa kushirikiana na shirika la misaada la kanisa katoliki pamoja na mtandao wa misaada kwa afrika, mtandao ambao ni wa Ujerumani.

Mwenzetu Mohamed Abdulrahamani anahudhuria kongamano hilo, na aliwasiliana na Aboubakary Liongo aliyetaka kwanza kufahamu yale haswa yanayojadiliwa.