Kongamano juu ya Ushirika na Afrika katika kuleta Mageuzo mjini Berlin
27 Aprili 2007
Baraza la pamoja la Kanisa na Maendeleo la makanisa ya kikristo ya Ujerumani ya madhehebu ya kikatoliki na kiprotestanti(Joint Conference Church and Development) limeandaa kongamano la siku mbili mjini Berlin lililoanza jana chini ya maneno makuu "Ushirika na Afrika katika kuleta mageuzo".
https://p.dw.com/p/CHl3
Matangazo
Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Petra Stein ambaye pia alikuwa na nafasi ya kupata maoni ya mgeni kutoka Afrika Rev.Oliver Kisaka Simiyu wa Baraza la Kitaifa la Makanisa ya Kenya.