Kombe la Dunia la Soka ya Wanawake linafanyika hapa Ujerumani, na tayari mshikemshike na homa ya kabumbu imeshaanza kupanda kwa timu mbalimbali zinazoshiriki mashindano haya ya aina yake ya kimataifa.
https://p.dw.com/p/11ibq
Matangazo
Fuatilia habari mbalimbali, matukio na uchambuzi wa kinyang'anyiro hicho kupitia hapa Deutsche Welle. Wanamichezo wako wa Idhaa ya Kiswahili watakuwa nawe kukupa taarifa za kila goli na kila pointi.