Kodi yafukuza watalii TanzaniaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoCharles Ngereza30.06.201630 Juni 2016Baada ya Bunge la Tanzania kupitisha bajeti iliyoweka kodi ya ongezeko la thamani katika sekta ya utalii, kampuni kubwa za mawakala wa utalii jijini Arusha zimeripoti kuwa zaidi ya wageni 8,000 wamekatiza safari na kupoteza kiasi dola milioni sita.https://p.dw.com/p/1JGvDMatangazo