Licha ya kuzaliwa na kuishi wao na wazazi wao kwenye ardhi hiyo hiyo moja, raia kadhaa wenye asili ya Kisomali nchini Kenya wanapotaka kupata nyaraka za utambulisho na kusafiria husumbuliwa sana kama inavyosimulia makala hii ya Mbiu ya Mnyonge kutoka kwake Wakio Mbogho akiwa Nakuru.