1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kituo cha wahamiaji chashambuliwa Libya

3 Julai 2019

Zaidi ya watu 44 wameuawa katika shambulizi la angani lililokipiga kituo cha kuwazuilia wahamiaji mjini Tripoli, Libya. Zaidi ya watu 130 wamejeruhiwa

https://p.dw.com/p/3LVfX