1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kisiwa cha Lampedusa nchini Italia na msaada kwa wahamiaji

7 Agosti 2019

Kila mwaka, maelfu ya wahamiaji hujaribu bahati yao kuvuuka Bahari ya Mediterenia kwa nia ya kuingia barani Ulaya, Lakini maelfu kati yao wanamezwa na bahari hiyo, Kisiwa cha Lampedusa kilichoko Italia kimekuwa maarufu kwa kuwapokea wahamiaji lakini kwa kipindi kirefu sasa, serikali ya Italia imeamua kuiziba njia hii. Mbiu ya Myonge leo hii inatuwama kisiwani humo, ungana na Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/3NUK6