Yaliyomo katuika kipindi cha karibuni ni mahojiano ya Mwenyekiti wa Wakfu wa Kiislamu, wenye makao yake makuu nchini Morogoro Tanzania, shairi jipya liitwalo watu wasiojulikana na ndoa bandia barani Ulaya. Zaidi sikiliza kipindi kama kilivyoandaliwa na Sudi Mnette wa DW.