Wakenya wameingia katika vita vya mitandaoni na Wanaigeria baada ya muigizaji Lupita Nyong'o mwenye asili ya Kenya kupewa nafasi na kampuni kubwa ya kutengeneza filamu ya Warner Media, kuigiza kama Mnaigeria Filamu hiyo itaitwa Americanah. Kwa kufahamu zaidi ungana na Sudi Mnette katika kipindi cha "Karibuni"