1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipindi cha Maoni: Wasifu na urathi wa marehemu Maalim Seif

Khelef Mohammed19 Februari 2021

Katika kipindi cha Maoni, tunaangazia wasifu, michango na urathi wa aliyekuwa makamu wa kwanza wa rais wa visiwani Zanzibar Maalim Seif aliyeaga dunia baada ya kuugua COVID-19. Nahodha wa kipindi ni Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/3pa9b