Urusi na Belarus zimewekwa kando ya michezo ya Paralympic kutokana na vita inayoendelea vya Ukraine. Zaidi msikilize makamo mwenyekiti wa kamati ya Paralympic Tanzania Vincent Kaduma akizungumza na Sudi Mnette muda mfupi baada ya mkutano wao mkuu wa mjini Berlin.