Siku kadhaa baada ya maandamano ya kulitaka jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa nchini Congo-MONUSCO kuondoka katika miji ya Butembo, Goma na Uvira, kiongozi wa ujumbe huo Bintou Keita alizuru Beni na kuwapa pole wafanyakazi wa ujumbe huo. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu kutoka Beni John Kanyunyu.