1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

KINSHASA. Kongo kupokea fedha za kupambana na Umasikini

7 Septemba 2005
https://p.dw.com/p/CEdf

Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo itapokea dola milllioni 40 kutoka kwa shirika la fedha duniani IMF ili kupambana na umasikini.

Kwa mujibu wa waziri wa fedha wa Kongo bwana Phillippe Futa fedha hizo ni baadhi ya dola milioni 780 ilizo ahidiwa nchi yake kuanza kupokea kutoka mwezi juni mwaka 2002.