SiasaAfrikaKinagaubaga: Slaa aelezea masaibu ya kukamatwa kwa uhainiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAfrikaMohammed Khelef25.08.202325 Agosti 2023Kwenye Kinagaubaga wiki hii, mwanasiasa na aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania, Wilbroad Slaa, anazungumza na Florence Majani juu ya kile kilichojiri akiwa mikononi mwa polisi na baadaye kuachiliwa kwa dhamana akiwa na tuhuma ya uhaini.https://p.dw.com/p/4VauSMatangazo