Katibu Mkuu wa Chama cha UDA Cleophas Malala alilazima kuondoka katika kikao cha chama hicho Mombasa. Ni baada ya wafuasi wa mbunge Mohammed Ali na Seneta wa zamani Hassan Omar, wote washirika wa Rais William Ruto kuzozana. Sudi Mnette amefanya mazugumzo ya kinagaubaga na Malala