1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijana mmoja auawa katika kamatakamata Zanzibar

29 Oktoba 2012

Visiwani Zanzibar operesheni ya kuwasaka wale wanaovuruga amani bado linaendelea.

https://p.dw.com/p/16YeN
Mji Mkongwe wa Zanzibar
Mji Mkongwe wa ZanzibarPicha: Stefan Pommerenke

Wakati jeshi la Polisi visiwani Zanzibar likiendelea kuwasaka wahalifu, baadhi ya wananchi wamejitokeza kulalamikia juu ya operesheni hiyo ikiwemo ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na jeshi hilo uliosababisha kifo cha kijana mmoja akiwa mikononi mwa polisi. Polisi nalo linakanusha kuhusika na mauaji hayo. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Salma Said, amezungumza na wazee wa kijana huyo, Hamad Ali Kaimu, na kututumia taarifa kutoka huko. Na pia Sudi Mnette amezungumza na Kamanda wa Polisi wa Zanzibar, Mussa Ali Mussa, ambaye amekanusha kuhusika kwa jeshi lake.  (Kusikiliza ripoti ya Salma Said na mahojiano ya Sudi Mnette, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mhariri: Mohamed Abdulrahman