SiasaKiir na Machar waelezea matumaini ya amaniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaBruce Amani26.06.201826 Juni 2018Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amesema anatumai kuwa mkutano wake na hasimu wake Riek Machar mjini KHARTOUM utamaliza mara moja vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini mwaohttps://p.dw.com/p/30IgwMatangazo