SiasaPakistan
Imran Khan aachiliwa kwa shtaka jipya la kuchochea ghasia
30 Mei 2023Matangazo
Wakili wake, Intezar Hussain Punjotha, amesema mahakama inayosikiliza kesi za ugaidi imethibisha dhamana hiyo baada ya kutimiza masharti muhimu ya hatua hiyo.
Kukamatwa kwa Khan Mei 9 kulisababisha maandamano makubwa ambapo wafuasi wake walioharibu majengo na vifaa vingine vya jeshi, hatua ambayo ilizusha hofu ya usalama kwa taifa hilo lenye silaha za nyuklia, ambalo pia linapambana na mzozo wake mbaya zaidi wa kiuchumi uliodumu kwa miongo kadhaa.