Serikali ya Kenya imeamua kuchukuwa jitihada za makusudi kabisa kuwahifadhi tembo ambao wamekuwa aina moja ya wanyama pori wanaopotea kwa kasi ya ajabu kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za mazingira.
https://p.dw.com/p/Rp5B
Matangazo
Eric Ponda anazungumzia juhudi za kuwahisabu na kuwahifadhi tembo katika mbuga za Afrika ya Mashariki kwa ujumla na mahsusi kabisa nchini Kenya.
Mtayarishaji/Msimulizi: Eric Ponda Mhariri: Othman Miraji