1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yaadhimisha miaka 60 ya uhuru wake

Thelma Mwadzaya(HON)1 Juni 2023

Kenya imeadhimisha leo miaka 60 ya uhuru wake katika siku kuu ya Madaraka. Masuala mazito yanayowazonga wananchi yameibuka yakiwemo ukosefu wa ajira, ongezeko la gharama na ugumu wa maisha. Wanasiasa wa upinzani wamesusia sherehe hizo.

https://p.dw.com/p/4S4qd