1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Uhuru Kenyatta atakiwa ajiondoe pia katika wadhifa wa Waziri Mkuu

27 Januari 2012

Sasa mashirika yasio ya kiserikali pamoja raia nchini Kenya wanamtaka Uhuru Kenyatta ajiondoe katika wadhifa wake wa waziri mkuu licha ya kujiuzulu hapo jana kama waziri wa fedha nchini kenya.

https://p.dw.com/p/13rgF
In this Nov 15 2007 photo, Kenyan politician Uhuru Kenyatta during a meeting in Narobi, Kenya. The prosecutor of the International Criminal Court has asked judges to charge six Kenyans, including the country's deputy prime minister, with crimes against humanity including murder, persecution and rape committed during post election violence in 2007-2008. Deputy Prime Minister and Finance Minister Uhuru Kenyatta and Minister for Industrialization Henry Kosgey are among the six men named Wednesday by Luis Moreno Ocampo in two separate cases covering both sides of Kenya's political divide. Deadly clashes erupted after Kenya's disputed 2007 presidential election, including indiscriminate bow and arrow, machete and gunfire attacks that killed more than 1,000. (AP Photo/Sayyid Azim)
Uhuru KenyattaPicha: AP

Mkuu wa utumishi wa Ummah Francis Muthaura pia alijiuzulu. Wote wawili wanakabiliwa na kesi ya kujibu katika Mahakama ya kimataifa ya jinai kwa kusababisha ghasi za baada ya uchaguzi nchini Kenya.

Hata hivyo kwa sasa hivi Uhuru na mwezake William ruto ambaye pia anakabiliwa na mashtaka katika mahakama ya ICC wanampango wa kuungana pamoja kisiasa ili kujiimarisha zaidi.

Amina Abubakar amezungumza na mchambuzi wa kisiasa Cyprian Nyamwamu na kwanza anazungumzia suala la vipi Uhuru Kenyatta atajiondoa kuwa waziri wa fedha na bado kushikilia wadhfa wa waziri mkuu?

Mwandishi Amina Abubakar

Mhariri Mohammed Abdulrahman