Wenyeji wa kijiji cha Gede nchini Kenya huwakama nyoka na kuwakamua kupata sumu yao.Utamaduni huo muhimu hutekelezwa kwa ajili ya kupata kinga dhidi ya sumu ya nyoka na kuokoa maisha, bila hivyo watu wengi wanaweza kupoteza viungo vyao baada ya kuumwa na nyoka na kukosa tiba.