Wanafunzi wa shule za sekondari nchini Kenya wamekuwa wakivutiwa na somo la Hisabati kutokana na klabu ya somo hilo iliyoanzishwa na Ann. Mradi huo unathibitisha kuwa Hisabati si somo Gumu la kuogofya, badala yake linaweza kuwa somo la kuvutia. Tizama.