AfyaKenya katika tahadhari kuhusu ebolaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfya17.06.201917 Juni 2019Kenya iko katika tahadhari kuhusu uwezekano wa mripuko wa ugonjwa wa ebola nchini humo, baada ya mwanamke mmoja kuonyesha dalili za ugonjwa huo. Uchunguzi unafanywa kuthibitisha au kuondoa hofu kutokana na ugonjwa huo.https://p.dw.com/p/3KaLtMatangazo