Maeneo ya kaskazini mashariki mwa Kenya, Ethiopia na Somalia yanakabiliwa na hali mbaya ya ukame ambayo haijawahi kushuhudiwa kwa miongo kadhaa. Umoja wa Mataifa umesema jana kuwa karibu watoto milioni 2 wanakabiliwa na hatari ya kufa njaa katika eneo la pembe la Afrika. Babu Abdalla amezungumza na Dubat Ali, mwenyekiti wa wafugaji katika kaunti ya Garissa