Kazi – Kipindi 4 – Meneja wa Hoteli16.03.201116 Machi 2011Katika kipindi hiki tutapata nafasi ya kumfahamu kijana mmoja nchini Uganda ambaye ni meneja wa hoteli. Je kuna ugumu gani wa kufanya kazi ya umeneja wa hoteli katika nchi zinazoendelea kama Uganda?https://p.dw.com/p/Q2EyMatangazo