1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karibu mwezi mtukufu wa Ramadhan

24 Aprili 2020

Kipindi cha Karibuni kimetowa nafasi ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao ni sehemu ya nguzo tano muhimu kwa Waislamu dunia nzima.Katika makala hii sikiliza hotuba ya Sheikh Yusuf Abdi kutoka Mombasa Kenya akisisitiza Ramadhani ya mwaka huu 2020 ni ya kipekee kutokana na janga la Corona lakini pia amesisitiza ni muhimu kwa Waislamu kufanya ibada majumbani mwao na sio misikitini

https://p.dw.com/p/3bMVl