Ujerumani kama taifa mojawapo lenye mashabiki wengi wa mpira wa miguu, watu wanaweza kuhususishwa katika kufanya shughuli za kijamii, wakati wanaposhabikia vilabu vyao na wachezaji wanaowapenda. Katika Makala ya Sura ya Ujerumani, Harrison Mwilima anaangazia jinsi ushabiki wa mpira wa miguu, unavyoweza pia kutumiwa katika kuhamasisha watu wajihusishe katika shughuli za kusaidia jamii.